Blogger Widgets

Wednesday, September 11, 2013

Shinda Ipad kwa kucheza Ngololo dance kutoka kwenye wimbo wa Diamond "Number One"

 
 Aina ya kucheza inayojulikana kama “ngololo” iliyoko kwenye wimbo mpya wa Diamond “Number One” umeonekana kuwa maarufu sana nchini na watu wengi kuupenda na kuucheza, na hata kutuma clips za video zao wakiji-record huku wakicheza mchezo huo, kupitia mtandao wa instagram.    

Vodacom wameamua kutoa zawadi za Ipad kwa washindi watakao cheza vizuri aina hio ya kucheza. unachotakiwa kufanya ni ku-record video ukicheza ngololo, tuma kwenye mtandao wa instagram na kutumia #VodaxomeNgololo hashtag, share picha ya video kwenye mtandao wa facebook  kwa kutumia application a Instagram kisha follow account ya Vodacom Tanzania kuingia kwenye shindano hilo. 

Shindano hilo litafungwa tarehe 18-9-2013, atakae pata LIKES nyingi kwenye account yake ndio atakaeshinda. diamondplatnumz   

Sasa @vodacomtanzania inakupa nafasi ya kujishindia Ma Ipad Mapyaaaa!.. record clip yako ukiwa unadance Ngololo kisha Upload kwenye Account yako ya instagram halaf kwenye Caption hash tag#vodacomngololo itakuwa imetufikia na kuingia kwenye shindano..! Haya NOW SHOW ME HOW YOU DO…..?

0 comments:

Post a Comment