Blogger Widgets

Thursday, September 5, 2013

ANGALIA PICHA YA MWIZI AKATWA MKONO

kiganja cha mwizi kilichokatwa na kisha mwiszi kuachiwa aende zake
Kijana mmoja ambae hakujuilkana jina lake mpaka anaondoka maeneo ya Buzuruga mjini mwanza aliambulia kukatwa mkono wake baada ya kukamatwa akiwa ameiba simu ya mama mmoja aliekuwa amepanda nae daladala.

katika hali ya kustaajabisha mwizi huyo baada ya kukamatwa watu walisema inabidi apewe adhabu itayomfanya asirudie tena kuiba, ndipo walipoamua kumkwata mkono na kumuacha aende zake...Na Mitandao

0 comments:

Post a Comment