Blogger Widgets

Monday, September 16, 2013

KILI MUSIC TOUR 2013 LEADERS CLUB JIJINI DAR

Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' akifanya vitu vyake stejini wakati wa shoo ya Kili Music Tour 2013 kwenye Viwanja vya Leaders jijini Dar.
Diamond na Nay wa Mitego wakivua T-shirt zao kuimba 'Muziki Gani'.
Diamond na Nay wakifanya yao stejini.
Recho kutoka THT akionyesha machejo stejini.
Madee akiwapagawisha mashabiki.
Kalla Jeremiah akizikonga nyonyo za mashabiki ndani ya Viwanja vya Leaders jijini Dar usiku wa kuamkia leo.
 
Prezidaa wa Mashujaa Band, Chaz Baba akiongoza bendi yake wakati wa shoo hiyo.
...Nyomi.
 
Mzee Yusuf akiwapa raha mashabiki.
 
...Linex stejini.
 
Roma Mkatoliki akimiliki steji.
...Roma akizidi kuwarusha mashabiki.
 
Joh Makini akisema na mashabiki.
 
...Nay wa Mitego kazini.
 
...Lady Jaydee akiwapa raha mashabiki na 'Yahaya'.
 
...Mr Blue kazini.
 
Profesa Jay akiimba na mashabiki.
Mashabiki wakiburudika na shoo hiyo.
 
..Nay na Diamond wakiimba Muziki Gani.
 
...Nataka kulewa zikinipanda nimwage radhi.
Baadhi ya warembo waliopanda stejini kutoa burudani.
...Warembo hao wakichuana.
...Mmoja wa warembo hao akionyesha ufundi wake.
 
...Huyu akionyesha umahiri wake wa kukata mauno.
...Dj wa shughuli akifanya mambo.
....Mashabiki wakiitikia shoo.
Kijana aliyeleta vurugu akidhibitiwa na wanausalama.
...Akiwa mikononi mwa wanausalama.
 
...Burudani zikiendelea.
Diamond na kundi lake wakipozi na Nay wa Mitego pamoja na wadau.
 
Prof Jay na Lady Jaydee wakipozi Ki-Anaconda.
(PICHA ZOTE NA GPL)

0 comments:

Post a Comment