Blogger Widgets

Wednesday, September 11, 2013

KAULI YA DIAMOND JUU SKENDO ZA KUIBA NYIMBO YA DAYNA ,NA CHORUS YA BABALEVO NA KUHUSU KUMZALISHA MWANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE

 
Hatimaye Diamond Platnumz leo amejibu tuhuma kadhaa zilizokuwa zikimkabali ikiwemo ile ya Dayna Nyange kudai kuwa alitumia beat ya wimbo wake kurekodi wimbo wake unaotamba sasa, Number 1 na pia kuhusu Baba Levo kudai Diamond alimuibia chorus ya wimbo wake. Katika mahojiano na kipindi cha XXL cha Clouds FM, Diamond pia amejibu scandal kuhusu kumzalisha mwanafunzi iliyoandikwa na magazeti wiki iliyopita. Msikilize hapa akijibu.

msikilize hapa chini

0 comments:

Post a Comment