Blogger Widgets

Tuesday, September 17, 2013

Shetta amaindi baada ya kukaguguliwa begi lake kama jambazi Airport Zanzibar


Msanii Shetta ameonekana kukerwa na kitendo cha kukaguliwa begi lake  na kutoa kila kitu kilichokuwa ndani ya begi lake kwa ajili ya kukamilisha ukaguzi huo, katika uwanja wa ndege wa Zanzibar akisafiri kuelekea Mombasa akiwa na msanii mwenzake kutoka kiumeni "Chege"



Kutokana na matukio ya watanzania wengi kujihusisha na usafirishaji wa madawa haramu ya kulevya, serikali imekuwa makini sana kwa wasafiri wanaotumia usafiri wa anga kutoka na kuingia ndani ya nchi, kuhakikisha hakuna kila anaejihusisha na kazi hiyo kufikishwa katika mikono ya sheria.

0 comments:

Post a Comment