Mshikaji anaeishi huko Lagos
Nigeria alimtembelea demu wake katika chuo kimoja (University) huko
South – West lakini alichokuatana nacho hakuamini. Demu wake huyo alikua
akijihusisha na kusagana (Lesbianism) akiwa Chuoni , Habari kutoka chanzo
kimoja kinasema msichana huyo anatoka familia inayojiweza sana na baba yake ni
Mkurugenzi Mkuu wa Federal Civil Service.
Demu na mshikaji wameshavalishana ndoa
wanasubiri harusi tu lakini kwa sasa mvulana hana nia ya kuendelea na mipango
ya harusi yao, Pia hajui afanyaje kwa sababu msichana huyo anamuomba msamaha na
asikishe kwenye familia yake, Mshikaji anasema alikua serious sana katika
mapenzi yao kabla ya tukio hilo.
0 comments:
Post a Comment