Baada
ya mwanamuziki wa kundi la Odd Future, Frank Ocean kuanika ukweli
hadharani kuwa aliwahi kumpenda mwanaume mwenzie na hivyo kujulikana
wazi kuwa ni gay, hawa chini ni miongoni mwa macelebrt wengine wa Marekani
wanaodaiwa kuwa mashoga wa kabatini.
Eddie Murphy
Muigizaji huyu wa Coming to America kwa miaka mingi amekuwa akizushiwa kuwa na uhusiano na mwanamuziki Johnny Gill.
P. Diddy
Nguli huyu wa hip hop naye amekuwa akishutumiwa kushikishwa ukuta mara kadhaa ambapo mtangazaji mwenye maneno mengi Wendy Williams alidai kuona video ya Diddy na msanii wa zamani wa Bad Boy, Loon wakiwa kwenye pozi la mikasi.
Queen Latifah
Fununu za kuwa gay zimemwandama kwa miaka mingi Queen Latifah na hivi karibuni amedaiwa kuwa na uhusiano wa kisagaji na mwalimu wake wa mazoezi
Kanye West
Maswali ya juu ya msimamo wa kimapenzi wa rapper huyu yamezuka mara kibao. Na ukiangalia jinsi anavyopenda masuala ya fashion na kutokuwa na uhusiano wa maana na wasichana huko nyuma, ni rahisi kumshuku.
Raven Symone
Muigizaji huyu hajawahi kukataa ama kukubali kuwa ni gay baada ya jarida la ‘Enquirer’ kudai kuwa alikuwa na uhusiano na mshiriki wa America’s Next Top Model, AzMarie Livingston.
Will Smith
Baba huyu wa watoto watatu na mume wa Jada Pinkett naye amewahi kushambuliwa na shutuma za kuwa shoga wa siri siri.
Russell Simmons
Mwaka 2006 mwanamke asiyejulikana alidai kuokota BlackBerry ya Russell na alipoipekua aligundua kuwa jamaa alikuwa akiwatumia meseji za mapenzi wanaume.
Tyler Perry
Producer huyu wa filamu amewahi kuitwa shoga wa kabatini (closet gay) na vyanzo mbalimbali na kukataa kuzungumzia tetesi hizo kwenye interviews.
Dr. Dre
Pamaja na ugumu wake kwenye nyimbo anazotoa, rapper na producer huyu tajiri amewahi kusemwa pia kuwa shoga wa chini ya carpet na miezi ya hivi karibuni Suge Knight alidai kuwa yeye na 2 Pac wamewahi kushuhudia mahusiano ya Dre kama shoga.
Bow Wow
Hivi karibuni mwimbaji wa zamani wa kundi la B2K, Raz B, alitoa kitabu na kumshutumu rapper huyu kuwa si riziki.
Ne-Yo
Muonekano wake na uvaaji unatosha kumsababisha watu wahisi ni wale wale. Pia wanaume kadhaa wamewahi kudai kumchapa nao star huyu.
Missy Elliot
Ulishawahi kumuona Missy amevaa gauni? Lol… nadhani siku akivaa ardhi inaweza kupasuka. Kuna ripoti kuwa rapper huyo alimuoa mpenzi wake Sharaya.
source: http://www.bongo5.com/
0 comments:
Post a Comment