Justin
Bieber Amekuwa karibu na Msanii wa Young Money Lil Twist Na Mara Nyingi
Msanii Huyu Huonekana Na Magari Ya Justin. Wiki Iliyopita Aligonga gari
ya Justin Aina Ya Fisker Karma na Weekend Hii Ameonekana Calabasas
Akiwa na gari Lingine la Bieber Aina Ya Range Rover. Inasemekana Ndio Gari Ya Bei Raisi Zaidi Anayo Miliki Bieber.
Lil Twist |
0 comments:
Post a Comment