Blogger Widgets

Tuesday, March 12, 2013

P-SQUARE SASA WATUMIA MAMILIONI YA PESA KATIKA BIASHARA YAO MPYA YA MAFUTA


Kama ulikua hujui ni kwamba wasanii maarufu kutoka Nigeria P-Square wameamua kujiingiza katika uuzaji wa mafuta. Walifunguka hayo kupitia mtandao wa twitter pia wakiambatanisha na picha zao wakiwa katika moja ya ya sehemu za kutunzia mafuta. Mungu awabariki sana.

0 comments:

Post a Comment