Kutokana na KAMPUNI ya UNITED EVENTS LTD TILBURG- THE NETHERLANDS kwa upande mwingine kama PROMOTER kushindwa KUTIMIZA BAADHI YA MAHITAJI ikiwemo kushindwa KULIPA PESA YA SHOW ambayo ilitakiwa ifanyikeJUGENHAUSE OSTEND mjini STUTTGART/GERMANY 09/03/2013 na zingine kama EAST AFRICAN NIGHT ambayo ilitakiwa ifanyike mjini ROTTERDAM/HOLLAND tareh 15/03/2013 na kadhalka,TEAM nzima ya WASAFI Hawatoweza KUHUDHURIA kwenye Events hizo.... huku TEAM hiyo ilikuwa ikipata Maswali mengi sana toka kwa mashabiki wake mbalimbali wakiwauliza kuhusiana na ujio wao wa nchi hizo za EUROPE lakini siku zote walikua wakikaa kimya bila kuwajibu wala kuzungumza chochote na Wadau hao kutokana na kutokuwa na uhakika wa Tour hiyo....Endelea kutembelea theHOODinfotainment Kwa lolote litalojiri tutawajulisha! |
0 comments:
Post a Comment