2:36 AM
Usishangae Wema ana simu 5 za gharama
ambazo huzitumia katika mawasiliano na watu mbalimbali hasa kwa wakati
huu ambao amefungua kampuni yake ya films so communication ni kitu
muhimu sana. Simu hizo ni aina ya Iphone 5,Blackberry Bold 4,Brackberry
Z10,Samsung Galaxy S3 pamoja na Galaxy Note 2
actress Wema Sepetu in her office
photocredit: BestizzoNo.1 blogger
0 comments:
Post a Comment