kijana
Godfrey Masharo mkazi wa mjini Iringa akivuja damu baada ya
kuchomwa kisu kifuani na watu wasiofahamika usiku wa leo wakati
akitoka kujirusha disco
Hapa akivuja damu akiwa nje ya kituo cha polisi kabla ya kupelekwa hospitali ya mkoa kwa matibabu zaidi
Hivi ndivyo alivyochomwa kisu kijana huyo.
0 comments:
Post a Comment