
KUNA baadhi ya sababu zinazosababisha watu kuoana pasipo kufanya maamuzi
sahihi. Wanandoa wengi huingia katika ndoa wakitegemea mambo mengi
kubadilika, kitu ambacho ni makosa yanayosababisha ndoa nyingi
kuvunjika.
Kabla ya kuoa/kuolewa unapaswa Ujitambue Kwanza na ujiulize maswali kadhaa, kwanza jiulize; (1) Je huu ni wakati sahihi? (2) Kwa nini mtu huyu? na (3) Unamuoa au kuolewa na mtu atakaye kuwa sambamba na malengo yako katika...