Blogger Widgets

Sunday, June 16, 2013

MUONE KOMANDOO LADY JAY DEE ALIVYOOGESHWA PESA NA MASHABIKI WAKE: BOX KUBWA LA KILIMANJARO LAJAA:


Na Mahmoud Zubeiry
ASUBUHI ONYESHO la mwanamuziki Judith Wambura Mbibo ‘Lady Jaydee’ kutimiza miaka 13 katika muziki, limefana usiku wa kuamkia leo katika eneo la maegesho ya magari kwenye ukumbi wa Nyumbani, Lounge, eneo la Kinondoni, Dar es Salaam kwa mamia kujitokeza kiasi cha kujaza eneo hilo, hadi kupishana ikawa taabu.Watoto wa mjini wanasema ilikuwa funika bovu- ndiyo shoo hiyo ilikuwa nzuri mno, ya kistaarabu, yenye mashamsham ya aina yake.
Jide akikumbatiana na Profesa Jay

Jay akipagawisha

Jay akisema na nyom

0 comments:

Post a Comment