Blogger Widgets

Tuesday, June 18, 2013

ANGALIA PICHA YA MTANZANIA ALIYEFARIKI BAADA YA MADAWA YA KULEVYA KUPASUKIA TUMBONI

dada yenu huyu ame dead kisa??? drugs
ilikuwa ni kutoka UK kwenda Italy na mauti
 yakamkuta huko 

Sonia ni msichana aliyekuwa anaishi Uk na  chanzo cha habari hii kimeniambia alipata connection ya Wanaigeria wanaoishi Uk kupeleka Unga (Drugs) Italy, yaliyomkuta ni yale mambo kucheza segere ndani ya tumbo lake (Madawa kupasukia tumboni) na kupelekea umati wake.
Jamani jamani msiwaige wa Nigeria jamani watawaponza  maana wanawapa maneno matamu huku wanawamaliza taratiibuu, Akili ku mkuichwa dada zangu
CHANZO:http://audifacejackson.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment