Blogger Widgets

Sunday, June 16, 2013

REPORT YA BOMU LILILO LIPUKA ARUSHA JANA 15 JUNE 2013



Jaji mstaafu wa Mahakama ya rufaa Damian Lubuva ambae ni mwenyekiti wa tume ya Taifa ya Uchaguzi amesema “Jioni ya June 15 2013 tulipata taarifa ya tukio kule Arusha ambako uchaguzi unafanyika katika kata nne za pale mjini, katika kata moja wapo ya kumalizia 

kampeni za mwisho bomu likatupwa na watu kufariki pamoja na wengine kuumia, kutokana na hilo tumeona sio wakati muafaka kwa uchaguzi kuendelea kwa sababu wengine wanaendelea na shughuli za mazishi”
“Tume imeahirisha uchaguzi katika kata nne za Arusha mjini kutokana na tukio hilo ambalo linawapa Wananchi hofu wakati wa kupiga kura hivyo uchaguzi umeahirishwa hadi tarehe 30 June” – Lubuva 

0 comments:

Post a Comment