Blogger Widgets

Tuesday, June 18, 2013

Picha: Nyuma ya pazia 'Diamond Platnumz' akiandaa picha kwaajili ya mashabiki wake

Leo katika website ya This is Diamond, mwimbaji wa Bomgo Fleva 'Diamond Platnumz' ameachilia picha ambazo zinaonyesha nyuma ya pazia juu ya picha zitakazo toka kwaajili ya mashabiki wake ku share na kuzitumia kwenye mitandao ya kijamii.

Hiki ndicho alicho kiandika.
"Siku ya jana nilikuwa na ratiba nyingi lakini hii ilikuwa moja ya  ratiba muhimu sana kwa siku ya jana.....
Ratiba hii ilikuwa kwaajili ya kupiga picha zangu binafsi kwa matumizi yangu kwenye Social Networks zangu na Website kwa ujumla na pia bila kusahau baadhi ya picha ni zawadi kabisa kwenu mashabiki zangu wa nguvu kwa matumizi yenu kwenye social networks zenu binafsi...... 
Zifuatazo ni picha kadhaa nikijianda na Photoshoot hiyo kutoka home hadi studio.....nimeamua kushare na nyinyi muweze kujua kinachojiri ndani ya ulimwengu wangu."

Zitazame hapa picha zaidi juu ya tukio hilo.












SOURCE: 24Hours Mix | Infotainment site

0 comments:

Post a Comment