Blogger Widgets

Thursday, June 13, 2013

LYRICS::LADY JAY DEE-YAHAYA

 Chorus: Yahaya unaishi wapi Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehhOooh Yahaya, Oooh Yahaya, Oooh Yahaya Maskani yako KinondoniNyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh Oooh Yahaya, Oooh Yahaya 
VERSE 1: Huyu kijana mwenzetu, Kila siku tupo nae maskani Anakula ofa za watu, Anapoishi hata hapajulikani Tumetafuta, tumeuliza, hakuna ajuaeAnavyozuga, anavyopita Si umdhaniae Na hafananii kabisa, na fix anazofanya Akidanganya kwa kina Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa Longo longo nyingi 
Rudia Chorus: 
VERSE 2 Kwa story za vilingeni, Utafikiri kweli yeye ndio boss Suruali zake na mashati, Anasema anafanya kazi bank Mara anasema usalama wa Taifa, Hakuna ajuae Kalubandika wa kizazi kipya, usomdhaniae Na hafanii kabisa, na fix anazofanya Akidanganya kwa kina Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa Ooooh Yahaya 
Rudia Chorus: 
Mara anasema usalama wa Taifa Hakuna ajuae Kalubandika wa kizazi kipyaUso mdhaniae Na hafanii kabisa na fix anazo fanya Akidanganya kwa kina, unaingia kingi unafuata Kumbe hana helaa 
Chorus: Yahaya unaishi wapi Kwani jina lako halisi nani Yahaya eeehhOooh Yahaya, Oooh Yahaya, Oooh Yahaya Maskani yako KinondoniNyumba namba haijulikani Yahaya eeeehh Oooh Yahaya, Oooh Yahaya
MWISHO:

Mtunzi/ Mwandishi: Judith Wambura ( Lady JayDee) Producer: Man WaterStudio: Combination Sound

0 comments:

Post a Comment