Blogger Widgets

Thursday, June 13, 2013

JAMBO SQUAD WAMEANDAA SHOW MAALUM YA KUWA SHUKURU RAIA WOTE WALIOWAPIGIA KURA, SOMA HAPA UTARATIBU MZIMA WA SHOW HIYO

Baada ya wewe mdau/shabiki wa music Tanzania kupiga kura yako katika kinyang’anyiro cha kili music awards katika category ya kundi bora la mwaka, na kuchagua kuwa Jambo Squad ndio kundi bora. Baaaaasi Jambo Squad wanarudisha THANKS zao kwenu kwa kufanywa show kali itakayofanyika siku ya jumamosi tarehe 22/06/2013 katika kiwanja cha SHEKHE AMRI ABEID jiji     Arusha kuanzia saa sita mchana mpaka saa kumi na mbili jioni, kwa kiingilio cha shilingi 2,000/- kwa wakubwa na 1,000/- kwa watoto.  Watasindikizwa na wasanii kibao kutoka hapahapa nyumbani, wasanii watakao kuwepo ni:- Dogo Janja, Lady Fire, warious na jambo squad 

HII NI MOJA NAYA NGUVU KUTOKA Jambo Squad  KUANDAA SHOW YA TOFAUTI AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA A.TOWN.
NJOO TUCHEZE MAMONG"OO BHANA....!!!

0 comments:

Post a Comment