Blogger Widgets

Sunday, June 23, 2013

EMBU ONENI UAMUZI HUU WAPENZI HAWA WALIO AMUA KUUCHUKUA BAADA YA KUKATALIWA WASIOANE

Hivi ndivyo walivyoamua kujitoa uhai wapenzi hawa baada ya wazazi wa mvulana kukataa katakata asimuoe msichana ambaye waliapa kuoana.baada ya juhudi zao kugonga mwamba suluhisho ikawa hivi.kisa hiki kimetokea huko congo.je wazazi mna la kusema ikifikia hapa?IKIPENDA ROHO HULA NYAMA MBICHI.NA MAPENZI SIKU ZOTE NI YA WAWILI. kwa kisani ya RAJAB KAMANZA



  

0 comments:

Post a Comment