Blogger Widgets

Tuesday, June 18, 2013

MBUNGE WA CCM NKASSI MWENYE TABIA YA KUSEMA OVYO ATOA MPYA BUNGENI DAKIKA CHACHE ZILIZO PITA

1741 

Mbunge wa Nkassi Kaskazini Ali Mohamed Keissy.BUNGENI MUDA HUU. Mbunge wa Nkassi Kaskazini Ali Mohamed Keissy ANAKINUKISHA BUNGENI MUDA HUU.ANATAKA WALE WOTE WALIODHULUMU SHIRIKA LA NDEGE WAFUFULIWE HATA KAMA WAMEKUFA ILI MIFUPA YAO ISAGWE SAGWE IWE HUKUMU YAKO

(rekodi aliyonayo mbunge huyu aliwahi kusema kuwa endapo serikali haitapeleka maji jimboni kwake atawabeba kwenye gari wanawake ambao hawajaoga kwa muda wa siku tatu na kuwapeleka bungeni ili wakakinukishe kikwapa mjengoni)PIA NI WIKI ILIYOPITA TU ALIULIZA KAMA ILE GESI YA MTWARA NI YA KUJAMBA AMA LAA...

0 comments:

Post a Comment