Blogger Widgets

Thursday, June 20, 2013

Chief Mufasa, msanii anetisha na stlye yake ya Afropop, cheki ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la JaiveJaive


Pata kumsikiliza ChiefMufasa msanii anayewakilisha vema Tanzania kule nchini Kenya,na hapa ni katika kipande kidogo cha Bonus track yake aloipa jina "JaiyeJaiye" ambayo ni Afropop itakayokuwa katika mixtape ya Fresh 2 Twenty,itakayodrop mtaani mwezi huu mwishoni,Mixtape itakuwa na ngoma 12 za muundo wa HipHop, Crunk, Afropop na fusion zingine nyingi tofauti zikiwa zimerekodiwa Noizmekah Production Stiudios kwa Defxtro, sikiliza Jaiye Jaiye Snippet HAPA na endelea kussuport muziki wa Tanzania,Kwa mawasiliano zaidi check na ChiefMufasa kupitia +
255 757 564 839 au +254 714 564 839

0 comments:

Post a Comment