Blogger Widgets

Celebrity Story from Different Place

Entertainment story of Bongo land and their work.

Wednesday, July 31, 2013

NU-JOINT: DIZZO KUTOKA A TOWN AJA NA "Nyoosha Mkono" SIKILIZA NA KU-DOWNLOAD

Msanii Dizzo toka Kwa Iddi Arusha anakuja na " Nyoosha Mkono" sikiliza HAPA endelea kusupport muziki wa Tanzania, powered by www.vmgafrica.c...

SERIKALI YAFANYA UPYA UTAFITI KUHUSU MAFUTA YA UBUYU

Moja ya aina za bidhaa za mafuta ya ubuyu. Utata wa kauli kuhusu usalama wa mafuta ya ubuyu, umesababisha Serikali kuyafanyia utafiti na hivi karibuni itatoa tamko la kumaliza gumzo hilo. Akizungumza na mwandishi jana kuhusu utata huo, Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk Donan Mmbando, alisema Serikali iko katika hatua za mwisho za utafiti huo, na muda si mrefu itatoa msimamo ili kuondolea wananchi utata. “Tumeona...

HALIMA MDEE" WAINGIZA MADAWA YA KULEVYA MTANDAO NI MKUBWA NA INAHUSISHA WAKUBWA"

  Mheshimiwa Halima Mdee naye Ametweet  Tweets nne zifuatazo kuhusu Madawa ya Kulevya.... ...

Kesi ya Wema Sepetu yaahirishwa mpaka tarehe 20

Kesi ya jinai inayomkabili muigizaji Wema Sepetu, ya tuhuma za kumpiga vibao vitano meneja wa hoteli ya Mediterano , pamoja na kuharibu mali za hoteli hiyo, imeahirishwa leo hii pia mpaka tarehe 20 mwezi wa nane. sakata hilo lilitokea siku ya tarehe 4 mwezi wa 4, kesi yake ya kwanza ilisomwa siku ya tarehe 17, na kuahirishwa mpaka leo hii, na baada ya kufika mahakamani leo hii na Wema kukataa mashtaka hayo, kesi imeahirishwa...

Irene Uwoya kuja na TV show ya tofauti kabisa, unajua inahusu nini?.

  Msanii bongomovie Irene Uwoya anakuja kwenye TV yako kwa njia nyingine tofauti na ya kiubunifu zaidi. Duniani kuna mastaa kadhaa ambao wanafanya reality show zao, lakini Irene Uwoya kupitia ukurasa wake wa Instagram ametoa news kwamba anaanzisha show yake binafsi kupitia kituo cha Clouds TV ambayo ni tofauti kabisa na show za mastaa wengine. Undani kuhusu show hiyo ni kwamba...

Wasanii wajitolea kwenda kujenga kabuli la Bibi Kidude

Bibi Kidude mkongwe wa muziki Tanzania ambaye alifariki huko Zanzibar na kuzikwa visiwani hapo, kifo chake kilipata maombolezo ya watu tofauti tofauti pamoja na wasanii. Hivi sasa wasanii wa kizazi kipya wamejiunga pamoja kwenda kusimamia swala zima la kujenga kabuli la mkongwe huyu katika historia ya muziki Tanzania. Msafara wa wasanii hadi sasa unategemewa kwenda Zanzibar...

Jiandae kwa kitu hiki kipya kutoka kwa Ney wa Mitego

Ney wa Mitego ambaye bado collabo yake na Diamond “Muziki gani” inafanya vizuri, ameamua kukujuza kuhusu kitu kingine kutoka kwakwe. Ney ametoa hiyo poster hapo chini ambayo inaweza kuwa ndiyo official art cover ya ngoma hii inayokuja. Bado hajaweka wazi ni lini atatoa hii ngoma, endelea ku-click to millardayo.com kwa ajili ya updates za ngoma hii. ...

List ya mastaa wa bongo ambao wamefanya/walifanya kazi kama mabalozi wa kampuni kubwa.

Unaambiwa vyanzo vikubwa vya pesa kwa wasanii wakubwa huko Ulaya na Marekani ni udhamini wa kutoka kwenye makampuni mbalimbali ambayo huwapa mastaa hao kazi ya kutangaza bidhaa fulani za kampuni yao au kuwa balozi kamili wa kampuni nzima. Moja ya mafanikio makubwa ni pale unapomuangalia P.Diddy ambaye anaingiza pato kubwa sana akiwa anafanya kazi na Vodka ya Ciroc ambayo ni...

Tuesday, July 30, 2013

Umeyapata Magazeti ya leo July31 2013 Tanzania? zote stori kubwa ziko hapa

. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . ...