Blogger Widgets

Friday, July 19, 2013

HII NDIO MERCEDES BENZ S550 YA MWAKA 2014 YENYE UWEZO WA KUJIENDESHA YENYEWE

Wakati tukiwa katika karne ya 21 huku tukiwa tunashuhudia teknolijia mbalimbali duniani ambazo simekufanya kushangaa na kuona kama ni kiini macho huamini amini hivi katika kuendeleza teknolojia iko Mercedes Benz ya 2014 S550 ambayo ukishaiwasha unaweka setting inajiendesha yenyewe wewe ukiwa umekaa na kuenjoy the drive ya 2014 Mercedes benz S550 , bei yake bado haijajulikana itauzwa kiasi gani. Hapa ndipo utakapojua Wabongo wabishi mzigo ukiingia tu sokoni mwakani siku chache baadae mchuma utaonekana ukicruise katika barabara za Bongo..Big up yourself kwa kampuni ya Benz.

0 comments:

Post a Comment