Blogger Widgets

Monday, July 8, 2013

CHEKI DIAMOND ALIVYOMWAMBIA MAMAAKE SIKU YAKE YA KUZALIWA



clip_image002Kila ninapowaza nikufanyie kitu gani naona kama kidogo hakitoshi kwa jinsi shida,tabu ulizozipata katika kunilea hadi leo kufikia hapa...ni Matatizo mengi sana, tena Saana hadi kila niyakumbukapo najikuta ghafla machozi yananitoka.…
Tazama hata hapa najikuta nakosa cha kukiandika maana kila niliandikalo naona kama bado halitoshi kuelezea Hisia, Upendo, Thamani na Heshima yangu Kwako...
Nakupenda sana Mama yangu, Mwenyezi Mungu akuzidishie Maisha marefu yenye Afya na furaha ili uzidi kuniongoza vyema Mwanao, Maana Bila wewe Mbele kwangu ni kiza...
Happy Birthday Mama Nasibu
Sad baby had to work! He missed alot! Buh hey!!! I represented him...... Again Happy birthday Mama... Cc@diamondplatnumz

0 comments:

Post a Comment