Blogger Widgets

Monday, July 22, 2013

DRAKE NA CHRISS BROWN WANUSURIKA KWENYE MSALA, CHEKI MSALA WENYE HUU HAPA

 
Wamiliki wa Klabu hii walifungua kesi ya madai ya kiasi hiki cha pesa kutokana na uharibifu uliosababishwa na vurugu hizi vilevile heshima ya biashara yao ambayo wamesema kwa kiasi kikubwa ilishuka kutokana na vurugu hizo. 

:
Hukumu ya kesi ya madai ya dola milioni 16, zaidi ya shilingi bilioni 25 za kitanzania, dhidi ya Chris Brown na Drake kufuatia vurugu walizosababisha.......... mwaka jana katika Klabu ya Starehe ya Greenhouse huko New York, imesomwa ambapo jaji aliyekuwa akisikiliza kesi hii, ametupilia mbali madai hayo.

Greenhouse Club baada ya Msala wa Chris na Drake mwaka jana
Greenhouse Club
Hii ni moja ya tym ambazo mahasimu hawa waliwahi kukaa karibu - back in the dayz

0 comments:

Post a Comment