Blogger Widgets

Wednesday, July 31, 2013

Jiandae kwa kitu hiki kipya kutoka kwa Ney wa Mitego



960009_660700250613561_2036015755_n


Ney wa Mitego ambaye bado collabo yake na Diamond “Muziki gani” inafanya vizuri, ameamua kukujuza kuhusu kitu kingine kutoka kwakwe. Ney ametoa hiyo poster hapo chini ambayo inaweza kuwa ndiyo official art cover ya ngoma hii inayokuja. Bado hajaweka wazi ni lini atatoa hii ngoma, endelea ku-click to millardayo.com kwa ajili ya updates za ngoma hii.


IMG-20130801-WA0000805407170

0 comments:

Post a Comment