Blogger Widgets

Thursday, July 25, 2013

HII INAKUHUSU WEWE MDAU WETU WA theHOODinfotainment KWA SUPPORT YAKO KUBWA UNAYOTUPA.

theHOODinfotainment na uongozi mzima wa THE HOOD ENTERTAINMENT inatoa shukrani zake za dhati kwa wadau na wasomaji wetu wa blog ya theHOODinfotainment kwa kipindi chote tangu kuanzishwa kwake mpaka kufikia hii leo kutimiza mwaka mmoja na kupata wasomaji na watazamaji zaidi ya laki tatu (300000's), hivyo basi tunaomba muendelee kutupa support yenu ili kufikia malengo ya kile ambacho sisi tumekukisudia kuwaletea ninyi wasomaji wetu. 

Tunawaahidi kuendelea kuwaletea mambo mazuri kadri ya uwezo wetu bila kukiukwa matakwa au maadili ya uandishi wa habari kwa ujumla, pale ambapo tutakuwa tumekosea kwa namna  moja ama nyingine tunaomba mtuwie radhi. 

Malengo yetu kwa sasa katika kitengo hiki cha habari (theHOODinfotainment) itakuwa katika muonekano mpya tofauti na ule wa mwanzo, habari tutakazoziweka pia zitakuwa katika mfumo ambao hautavunja maadili ya mtanzania. 

Wamiliki halali wa blog hii ni YUSHA SHABANI pamoja na NGAIC MARCO hivyo basi kwa mawasiliano yetu unaweza kuwasiliana nasi kwa nambari ya ofisi ni +255 752 406 158 hivyo tunapokea matangazo, kama unahabari au kunastori yeyote uanataka tuiweke wasiliana nasi kwa e-mail yetu ya yushathehood@gmail.com na tutafanyia kazi.

Yusha Shabani

Ngaic Marco
Shukrani za dhati tunazitanguliza kwa MUNGU ambaye yeye ndiye anaetupa uzima wa sisi kila siku kutulinda katika afya njema na kutuwezesha kushughulika na shughuli za kilijenga Taifa, shukrani pia ziwaendee wazazi wetu Mr. Mrs Msengy & Marco kwa mchango wao mkubwa.

0 comments:

Post a Comment