Blogger Widgets

Tuesday, July 23, 2013

Izzo Business atumiwa meseji ya kushangaza na mtu aiyemjua.


Baada ya kutoa video ya wimbo wa Love me akimshirikisha Barnaba na Shaa, Izzo B amekutana na kituko cha ajabu kupitia kwenye inbox yake ya facebook. Kuna mtu kamtumia hiyo meseji hapo chini ikiwa hata hawajuani.

izzo copy

Izzo B amesema kwamba hamjui huyo jamaa lakini kwenye profile picture yake ameweka picha ya video queen wa Love Me, uwezekano mkubwa ni kwamba anawezekana kuwa ni shabiki wa Izzo B na aliamua kumzingua tu. Huyo hapo chini ndiyo video queen mwenyewe wa video ya Love me ambayo unaweza kuiangalia hapo pembeni

0 comments:

Post a Comment