
Elizabeth Lulu Michael anaweza kuimba. Alithibitisha live jana kwenye
uzinduzi wa filamu yake, Foolish Age, pale alipopanda kwenye stage na
kuimba kwa ufasaha na Lady Jaydee hit yake Yahaya. Kutokana na kuimba
kwa ustadi na bendi ya Machozi, Lulu alituzwa na mvua ya hela na
mashabiki, Tazama video.
...