Blogger Widgets

Saturday, August 3, 2013

NU-JOINT: Umbwa a.k.a Chindo kutoka watengwa aja na ngoma mpya ianyokwenda kwa jina la "Kingkola" sikiliza na ku-download hapa

Umbwa aka Chindo toka Watengwa Kijenge Juu anadrop na goma Jipya "KingKola" ikiwa ni Bonge la Joint lenye mkasa wa kusisimua, special wa fans wote wa Hip Ho worldwide,Sikiliza HAPA powered by www.vmgafrica.com

0 comments:

Post a Comment