Blogger Widgets

Sunday, August 11, 2013

HII NDIO KUFURU YA MAPOKEZI YA OMMY DIMPOZ, BURUNDI

Ommy Dimpoz licha ya kukwama kwa muda kidogo kwenye Airport ya Jomo Kenyatta, hatimaye aliweza kufika nchini Burundi na kufanya show. Baada ya kufika Burundi,  njiani kuelekea kwenye show Ommy Dimpoz alifuatwa na kundi kubwa la watu wakifuatilia gari lake huku yeye akiwapungia mkono. Cheki hii picha kutoka kwake mwenyewe Ommy Dimpozommy

0 comments:

Post a Comment