Blogger Widgets

Tuesday, August 20, 2013

Picha 14 za nyumba anayojenga Diamond Platnums, geitini, madirisha, fensi, baraza na vingine

16

Ni balozi wa kinywaji cha Cocacola, ni staa ambae sauti yake imetumika kwenye kolabo iliyokaa kwenye nafasi ya kwanza ya Clouds FM Top20 kwa wiki 6 mfululizo….. ni mshkaji ambae video yake mpya inayofata ameifanya Afrika Kusini.
Ni mkali wa bongofleva ambae mpaka sasa ndio msanii wa kiume wa bongofleva alieongoza kwa kuandikwa sana kwenye magazeti pendwa na pia kwenye Internet kwa mwaka 2013.
Diamond Platnums ambae alikiri kupitia XXL ya Clouds FM June 2013 kwamba dili la Cocacola limemlipa zaidi ya MILIONI 100 za Kitanzania, ameshea na sisi pichaz za nyumba yake anayoijenga Mbezi Dar es salaam..
15
6
5
4
2
1

7
12
13
14
2
3
1

0 comments:

Post a Comment