Blogger Widgets

Tuesday, August 27, 2013

HIVI NDIO VIGEZO VYA DIAMOND, ANAVYOVITUMIA KATIKA MAISHA YAKE YA KILA SIKU.

"Ni maswali mengine nimekuwa nikijiuliza kwa siku
nyingi sasa lakini niliishia kupata majibu
mengi mengi lakini kutokana na hekima na ukarimu
niligundua ni vitu gani naweza fanya au
kuviona na kugundua namba moja wangu naeza akawa yupi.....
Binadamu tunapenda,tunatamani vitu vingi
sana lakini unaambiwa huezi tumikia
mabwana wawili kwa wakati mmoja,au nabidi uchague kusuka au kunyoa...

Binafsi napenda sana mtu muelewa na
mkarimu mwenye kusikiliza na kujielewa
lakini zaidi ya yote Nampenda sana Anaye
Shukuru na Kuridhika kwa Kidogo
akipatacho....Basi huyu ndiye namba
moja wangu ndani ya Moyo wangu...!!
Mimi ninaye Tayariii.........Swali kwako nakuachia
mtu wangu wa kweli.....Je wewe
Number one wako unapenda aweje....? ni
vitu gani wapendelea toka kwake...?
Ebu Funguka basi nijue wapendelea nini mtu wangu" Diamond

0 comments:

Post a Comment