Blogger Widgets

Friday, August 30, 2013

ANGALIA PICHA ZAIDI ZA. UZINDUZI WA VIDEO MPYA YA DIAMOND




Hamis Mwinjuna A.k.a Mwana F.A alikuwepo pia kushow Love....
Interiew zinahusika sana sehemu kama hizi....
Sauda wa Bongo Beats ya Star Tv nae akukosekana ndani ya nyumba.....
Chege Chigunda Toka TMK nae alikuwepo.....
Flowers awakosekanagi sehemu kama hizi.......
wakiongozwa na Number One Diva Hamisa
hassani Mobeto.





Mzee Muhidini Gurumo nae akukosekana  ndani ya Nyumba.Furaha Ilioje kumuona Nguli wa Muziki wa Dansi nchini akiudhuria  kwenye kitu chako,binafsi nimefurahi sana uwepo wake ulizidi kuimarisha moyo wangu.

Prince Brother Man Dully Sykes akiwasili  ndani ya Nyumba pembeni na FloweR Shadee toka Clouds Tv,presenter wa Cloud 9..

Shadee & Dully...Mmmmmh....??? Aya sina usemi
Kama kawaida......
Sarah A.k.a Shaa nae ndani 
Movement zikiendelea na mahojiano mbalimbali  kati ya wasanii na presenters wa vituo mbalimbali vya Habari & Blogs kiujumla wakiwa kazini....




Mama yangu Mdogo yanii nikimaanisha Mdogo wake na mama yangu mzazi Bi Sandrah Sammy Asha Baraka,Manager na Owner wa Twanga Pepeta nae alikuwepo...

Mwenyewe Naseeb Abdul Nilipowasili,Shuguli ikawa imefikia patamu sasa......


Nikijibu maswali tofauti tofauti toka kwa waandishi wa Habari..

Jacquline Wolper toka Bongo Move nae akukosekana...

Jacquline wolper & Qboy Msafii..

Kwenye Red Carpet nikiwa na Dada yangu,Rafiki yangu wa karibu
Penniel Mungiwa,Presenter wa DTV...
Thanks For Coming Buddy..

The True Boy Is in the building.
Proffesor Jay a.k.a Father House nae alikuwepo
 kushow Love kwa mdogo wake..

1 comment:

  1. am looking for a bottom to have a relationship a long term one, if you will be having your apartment it will be good, and if you don't have hope we will have a place to meet at my place were i stay. i need some one to love not the one who loves money. age around 19-45. my mail blackinc47@gmail.com

    ReplyDelete