Blogger Widgets

Saturday, August 10, 2013

HIZI HAPA PICHA ZA MAHAFALI YA 3 YA WAANDISHI WA HABARI KATIKA CLUB YAO YA JBC JIJINI ARUSHA

kabla ya wageni na wahitimu kuingia ukumbini uku ndiko maakuli yalikuwa yakiandaliawa
mgeni rasmi Mr Semio Sonyo ambaye ni mtangazaji wa redio 5 akiambata na mmoja ya wawakilishi wa bunge kutoka katika bunge la jamuhuru ya muungano wa Tanzania Mr. David Geog wakijongea katika ukumbu
Mr David Patrick ambaye ni Afisa uhusiano katika Club ya JBC akiwa na Calvin Lameck Mhasibu wa club hiyo wakiingia katika ukumbu maalumu uliondaliwa kwaajili ya mahafali ya tatu ya wanachama wa club hiyo
MC

wahitimu


Mr Chao, ambaye ni mkufunzi wa AJTC kama producer katika maswala ya audio production





makamu mwenyekiti wa JBC Bi, Josephini Charles akiteta jambo mbele ya umati

mwenyekiti wa JBC Bw. Mathayo Saruma akitoa salamu zake kwa uwepo wake ukumbini hapo

Risala ya club hiyo ya waandishi wa habari JBC ilisoma na Calvin Lameck pamoja na Jackline Joel mbele ya mgeni rasmi

Risala hiyo iliwasilishwa kwa mgeni rasmi

BURUDANI: ilikuwa ni muda wa kutabasamu baada ya Lindege almaamurufu kama mong'oo kutoa burudani

comedy ilikuwa muda wake pia


utoaji wa vyeti ulufuata







ilifuata burudani fupi ambayo iliwachangamsha watu "SANDUKU"

wahitimu nao ilikuwa ni muda wao mzuri kuonesha uwezo wao wakucheza style maarufu ya kwaito na kuimba mbele ya mgeni rasmi





kila mmoja kuonesha uwezo wake wakucheza...!!!

'teach me how to dug'



KEKI




muda wa maakuli uliwadia.






 picha zote: na mpiga picha wetu.


CLUB YA WAANDISHI WA HABARI YA JBC, IMEFANYA MAAFALI YAKE KWA BAADHI YA WANAFUNZI WANAOMALIZA MAFUNZO YAO YA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJI KATIKA CHUO CHA UANDISHI WA HABARI NA UTANGAZAJIA ARUSHA (AJTC) MAPEMA JANA.

MAHAFALI HAYO YALIFANYIKA KATIKA UKUMBI WA AJTC UKU MGENI RASMI AKIWA NI MTANGAZARI WA REDIO 5 BWANA SEMIO SONYO AKIWA NA MUWAKILISHI KUTOKA KATIKA OFISI ZA BUNGE BW DAVID GEOG KUTOKA DODOMA.

BW. SONYO, ALIWATUNUKU WAHITIMU HAO VYETI MBALIMBALI UKU AKIWAHASA KUHUSIANA NA UHABA WA SOKO LA AJIRA NA KUJUA NI JINSI GANI WATAWEZA KULIKABILI KUTOKA NA HALI ILIVYO KATIKA TASNIA NZIMA YA HABARI.

HATA HIVYO KUTOKANA NA RISALA YA CLUB HIYO, BW SONYO ALITOA AHADI YA KUWAPELEKA WANAFUNZI WATANO KUFANYA MAZOEZI YA VITENDO KATIKA OFISI ZA REDIO 5 PAMOJA NA KUTOA KIASI CHA SHILINGI 50,000/= ZAKITANZANI.

PIA, MUWAKILISHI KUTOKA OFISI ZA BUNGE ALIWEZA KUTOA AHADI YA SHILINGI LAKI MOJA KWAAJILI YAKUINUA MFUKO WA CLUB HIYO KUPIA MRADI WAO WA MGAHAWA.

JBC NI CLUB ILIYOKO NDANI YA CHUO CHA AJTC IKIWA NA LENGO YA KUMUINUA MWANAHABARI KITAALUMA NA KIUCHUMI, KWA HIVI SASA INAWANACHAMA HAI ZAIDI 75.

TIPS: 
.CLUB ILIANZISHWA MWAKA 2012 IKIWA  NA WANACHAMA 12
.CLUB INA UHABA WA VIFAA VYA MAZOEZI KWA VITENDO KAMA VILE, MIC, COMPUTER, TAPE RECODER, MIXER NA SPEAKER.

.KUFANIKIWA KUFUNGUA MGAHAWA CHUONI HAPO.

.KUTOA MSHINDI BORA WA MWAKA KATIKA SHINDANO LA KUMSAKA MTANGAZAJI BORA Bw GODFREY THOMASI.

KWA MAWASILIANO ZAIDI KUHUSIANA NA CLUB AU KUTOA MCHANGO WAKO WA HALI NA MALI UNAWEZA WASILIANA NASI KWA       NAMBARI +255 753 656 687

 




2 comments:

  1. C.E.O WA INFO IS HOT ANAWAPONGEZA WOTE WALIOHITIMU NA ILIKUWA POAH GRADUATION #TCHAOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO

    ReplyDelete