Blogger Widgets

Monday, August 5, 2013

Kama bado ulikuwa ujaona picha za Matukio Harusi ya Mkuu wa kitengo cha ualimu & secondary katika Chuo cha AJTC Mr&Mrs Adson hizi hapa

           
Muda mfupi baada ya kufunga pingu za maisha katika kanisa la TAG Betheli lililoko kijenge jiji Arusha
                              
Mkurugenzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha  Bw  Joseph Kagiye Mayagila akiwa na mkewe

 

Wakiwa katika pozi la pamoja Eneo la Elboru Lodge kwa ajili ya picha za kumbukumbu

Bi_ Lesa katika pozi eneo la mnara wa saa kwa ajili ya picha za kumbukumbu.

MR$MRS Adson Mayagila katika pozi la kumbukumbu.

Mpiga picha wa kujitegemea akiweka mambo sawa


theHOODinfotainment kupitia crow yake, inawatakia maisha marefu yenye baraka ndani yake, mfanikiwe katika kila jambo jema mtakayoyafanya wakati huu mkiwa kama mwili mmoja.            via: yusha shabani



picha zote kwa hisani ya: izabreez.blogspot.com

0 comments:

Post a Comment