Blogger Widgets

Monday, August 19, 2013

NEWS:FOOLISH AGE YA ELIZABETH MICHAEL (LULU) KUZINDULIWA MLIMANI CITY HALL

Elizabeth Michael ali-maarufu kama ''LULU'' ukisikia jina ili
basi kuna mengi ya kuongelea juu ya kipaji chake
kama msanii wa filamu Tanzania lakini hapa nipo
kukujuza kwa kitu kingine shabiki wa Lulu...
Baada ya kukaa kimya kwenye sana muda mrefu Elizabeth
anakuja na filamu yake kali kuliko kwa mujibu wake
kuwa ameicheza ustadi mkubwa na kiufasaha zaidi kwa
 kuwa muda mwingi alitumia kuigiza maisha yake
halisia aliyokuwa nayo kipindi cha nyuma ndio
 kisa aswa cha kuitunuku filamu hii jina la 'FOOLISH AGE''

Tarehe 30/8/2013 NDANI YA MLIMANI CITY HALL
 kwa kiingilio cha 30,000/= tu utahusika vilivyo mdau wa
Bongo movie kuweza kushuudia uzinduzi na filamu kamili
 pamoja na kumuona mwenye Lulu siku ya tukio
ilo burudani itakuwepo kutoka kwa Lady Jay Dee na
Machozi Band,kiukaribu kabisa hii si ya kukosa...

 
Hii ndio cover halisi ya filamu hiyo
itakayozinduliwa ndani ya Mlimani city Hall

0 comments:

Post a Comment