Blogger Widgets

Tuesday, August 6, 2013

homboys kutoka A town waja na kitu kipya "Ruka Ruka" sikiliza na ku-download hapa





Chipukizi watatu wanaowakilisha Arusha katika BongoFleva kwa wimbo wa "Ruka Ruka" kupitia lebo yao ya Arusha Homboys wanaomba support yako mdau wa music,pata wimbo huu HAPA na vile vile Toka Kundi hilo la la Homboys Arusha ni msanii Babulwa anakuja na wimbo wake "Deejay" sikiliza HAPA na kwa mawasiliano zaidi check nao kupitia +255 752 248 054

0 comments:

Post a Comment