Blogger Widgets

Wednesday, August 28, 2013

Mrisho Ngasa aingia kwenye scandal nzito baada ya mkanda wake wa ‘faragha’ kuvuja mtandaoni

Mshambuliaji wa timu ya taifa ya soka, Taifa Stars na mchezaji wa Yanga, Mrisho Ngasa, ameingia kwenye scandal nzito baada ya kile kinachoonekana kuwa mkanda wake wa ngono kuvuja mtandaoni.
281570_174479702625656_6304894_n
Mkanda huo ambao ni rahisi kuuona kama mtu akigoogle jina lake, unamuonesha mchezaji huyo akiwa kwenye ‘suti yake ya kuzaliwa’ pamoja na msichana wakivunja amri ya sita.
Huku kukisikika muziki wa aina mbalimbali ukiwemo wa reggae, wapenzi hao wanasikika wakizungumza na kucheka wakati wakiendelea na tendo hilo.
Bado mchezaji huyo hajazungumza chochote kuhusiana na mkanda huo ambao inadaiwa kuwa unauzwa kama njugu mtaani.

chanzo : bongo 5

0 comments:

Post a Comment