Blogger Widgets

Monday, August 26, 2013

Hii ndiyo kampeni ya Diamond Platinumz kwa ajili ya wimbo wake “Number one”

d1
d3


1

Kwenye instagram  Diamond anapost picha zenye mistari kadhaa ikiwa na #NumberOne. Baadhi ya mashabiki wameshaana kuelewa na interaction na attention juu ya wimbo huu imenza kutokea k wenye mitandao ya kijamii. Habari za ndani zinasema kwamba Diamond anaweza kufanya launching kubwa na ya tofauti sana kwa ajili ya hii video ya number one ambayo ameshoot nchini South Africa.

0 comments:

Post a Comment