Blogger Widgets

Tuesday, August 20, 2013

DENTI ACHEZEA KICHAPO KIKALI BAADA YAKUFUMANIWA NA MVULANA

Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa King'ong'o, Bwana Mapesi baada ya kukwapua kibegi cha mwanafunzi aliyekutwa na wavulana.
...Akikagua madaftari ya mwanafunzi huyo.…
Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa King'ong'o, Bwana Mapesi baada ya kukwapua kibegi cha mwanafunzi aliyekutwa na wavulana.
...Akikagua madaftari ya mwanafunzi huyo.
...Mwanafunzi akitafuta kalamu kwa ajili ya kumpatia Mwenyekiti.
...Mwanafunzi akikimbia baada ya kuadabishwa na Mwenyekiti.
...Wote wamekasirika.
Mwenyekiti akimuandikia namba ya simu mwanafunzi akiagiza ampelekee mzazi wake ili wawasiliane kwa ajili ya kumfahamisha tabia za mwanaye.
 
Hamida Hassan na Gladness Mallya / GPL
DENTI mmoja wa Shule ya King'ong'o jana aliadabishwa na Mwenyekiti wa Serikali za Mitaa King'ong'o aliyejulikana kwa jina la Mapesi baada ya kumkuta barabarani akiwa amesimamishwa na wavulana badala ya kwenda nyumbani.

Mwanafunzi huyo alipomuona mwenyekiti alijaribu kukwepa huku wavulana aliokuwa nao wakikimbia kwa kuhofia tabia yao lakini alishindwa kwani mwenyekiti alifanikiwa kumkamata mikononi na kumtia 'displine'.

Mwanafunzi alipobanwa alidai kuwa alikuwa amemfuata mvulana mmoja ambaye zamani alikuwa mpenzi wake na alifika eneo hilo baada ya kumuita.
Hata hivyo mwisho aliomba msamaha na kumpigia magoti mwenyekiti huyo ili aondoke na kuelekea nyumbani kwao.

0 comments:

Post a Comment