Blogger Widgets

Tuesday, May 14, 2013

nu-joint<> ya cash clan yaja tena na 'wakali wa kitaa' icheki hapa

Cash clan Yaja Tena na "Wakali wa Kitaa", Ngoma ambayo wamerekodi pande za noizmekah studios Arusha Tanzania kwa usimamizi wa producer Defxtro, Pata kuusikiliza HAPA na endelea kusupport muziki wa Tanzania

0 comments:

Post a Comment