Blogger Widgets

Friday, May 24, 2013

ANGALIA HAPA PICHA YALIOJIRI WAKATI WA SHOTING YA MAJANGA YA SNURA

Hapa ndio ile sehemu kupigwa nipigwe mie,police kawahi yeye, kibao nimegeuziwa mie 
Abby kazi mzazi ndio mpango mzima kuakikisha anapata picha kali na za kisasa 




















Malaika ameshashuka kutaka kusikiliza majanga ya wananchi yalivyokuwa mengi. 

Mainda nae alikuwepo 
Watoto wanaomba majanga yapungue kwa mana majanga yamezidi sana duniani 





Kupata msosi maeneo hayo kidogo ni tabu mara kapita muuza samaki du watu wacha wamgombanie
Mamaa majanga

0 comments:

Post a Comment