Blogger Widgets

Saturday, May 25, 2013

KUNDI BORA LA MWAKA NI TYM YAO JAMBO SQUAD SASA.

kupitia kundi bora la mwaka, Jambo Squad ndio tym yao sasa, wewe kama funs wakaribu wa machalii ya R, watoto wa bibi wapigie kura kuwa KUNDI BORA LA MWAKA, Jinsi ya kuwapigia kura unaandika CF1 kisha unatuma kwenda 15345 kuchagua Jambo Squad kuwa kundi bora la mwaka. Tuwape support watu na tuendeleze na kuipresent game ya music A.Town.

0 comments:

Post a Comment