Blogger Widgets

Wednesday, May 29, 2013

SOMA RIPOTI HII HUWENDA NDIO CHANZO CHA KIFO CHA ALBERT NGWAIR

Albert Mangwair a.k.a Mimi a.k.a Ngwair a.k.a Cowboy enzi za Uhai Wake
--
Albert Mangwair a.k.a Mimi a.k.a Ngwair a.k.a Cowboy ni msanii wa Hip Hop ya Bongo kutoka mkoani Dodoma.
Alihamia jijini Dar es Salaam, Tanzania ambako alikokutana na mtayarishaji mahiri wa mziki P Funk 'majani' au Kinywele Kimoja, na kuanza kufanya naye kazi. Hiyo ilikuwa ni mwaka 2003 ambapo alitoa kibao cha kwanza kiitwacho 'Ghetto Langu,' nyimbo ilimpatia umaarufu mkubwa. Mangwair pia aliwahi kushinda tuzo ya Kilimanjaro Music Awards kama mwana Hip Hop Bora wa mwaka 2005. Mwaka wa 2007 akatokea kwa wimbo wa kimya kimya akiwa na wana chemba. Katika Kimya Kimya anapagawisha. Marehemu kwa sasa Ngwair anatesa na nyimbo inayotamba kwa jina Washamba. Alifariki jana 28/05/2013.
-----
Taarifa ya Ripoti Kutoka Helen Joseph Hospital - Auckland Park, Johannesburg, South Africa.
Helen Joseph Hospital - Auckland Park, Johannesburg, South Africa.

The Medical report from Helen Joseph hospital, Dr. Shirley Radcliffe confirming that; Albert Mangwair died from: “Alcohol toxicity” after drinking too much, Over-exhaustion and drugs overdose.

The inquest heard that Albert 28, collapsed in his friend's home had been more than five-times the legal S.A drink-drive limit with 416mg of alcohol per 100 millilitres of blood in his system.

Dr. Radcliffe described the reasons for ICU admission included hypoxemia and one of his friend found “two empty vodka bottles in the car” and he had been suffering from the eating disorder (Bulimia) for several months before his death and endless partying session with little or no resting.Sample taken from his stomach showed poly-drug cocktail and he overdosed Heroin, Cocaine 'crack' and cannabis 0.08gms was also found in his blood, and his death was caused by massive heart attack and respiratory failure followed by sudden heart stop...and end up dead within seconds.*Ripoti hii kwa Mujibu wa Self Kabelele

0 comments:

Post a Comment