Blogger Widgets

Tuesday, May 28, 2013

HIKI NDICHO ALICHOKISEMA ADAM MCHOMVU BAADA YA KUANDIKWA MATUSI KATIKA WALL YAKE YA FACEBOOK

Naomba kuchukua nafasi hii kuomba radhi kwa yeyote aliyekwazika kwa maneno machafu yaliyoandikwa kwa wall yangu, na pia naomba nieleweke kwamba sihusiki na chochote kupost au kuandika chochote kuhusu kikwete foundation na picha za jdee ukiwa naked, sina ugomvi na yeyote naheshimu hisia za kila mtu nikiamini kila mtu Anamaamuzi yake.. Aliyeamua kutumia jina langu kufanya hao najua sasa unajiskia vizuri baada ya matusi mengi niliyotukanwa.. Maisha hayaishii hapa siku zinaenda na ukwali utafahamika siku moja ... Mchana mwema !!
16Like ·  · 

0 comments:

Post a Comment