Blogger Widgets

Friday, May 24, 2013

NU=JOINT MECCACHEKA COLLABO NA G NACO

 Wanakuja tena baada ya collabo heavy na Nakaaya -Darasa Huru,Si wengine bali ni "MeccaCheka" na track mpya kabisa iloundwa pande za www.noizmekah.com wakimshirikisha mkali toka Weusi mzee mzima Gnako katika ngoma waloipa Jina "SOMA" Almando Mwiro & Almando Rizzy wkiwa ndio waasisi wa MeccaCheka Crew wana Mengi kwa Washabiki wa Muzika wa Muziki hapa Bongo na Duniani Kote, Pata kuusikiliza HAPA na kwa mawasiliano zaidi piga simu +255 763 941 893 au +255 715 652 878 

0 comments:

Post a Comment