Blogger Widgets

Friday, May 24, 2013

PDC Crew aka Pinda Da Chronics, waja na ngoma yao mpya inayokwenda kwa jina la LONG TIME

PDC Crew aka Pinda Da Chronics Kundi linaloundwa na LeeShu, Medic, KingNdela na ElevenOne toka pande za Sombetini Arusha Tanzania wanadrop joint mpya "Long Time" liloundwa na Producer Black na mix kufanyika Noizmekah Studio chin ya defxtro, pata kusikiliza HAPA na kwa mawasiliano zaid chek na PDC kupitia +255 714 283 324 

0 comments:

Post a Comment