Blogger Widgets

Friday, May 24, 2013

LADY JAY DEE NAYE AMSHANGAA MWANA FA. KUTOKANA NAYE KUANDAA SHOW TAREHE MOJA NA KUAMUA KUMCHUKUA LINNAH..Soma Alichosema


Kutokana na JIDE kuwa na show yake kubwa mnamo tarehe 31 mwezi huu pale nyumbani lounge ,Sasa rafiki yake wa karibu sana MwanaFA inaonyesha naye ameanda show yake siku hiyohiyo  ya Tarehe 31,Zaidi ya yote mwanaFA akawachukua  wasanii walio jitoa katika show ya JIDE kama Linnah    kutokana na sitofahamu chanzo kimoja cha habari kiliweza kumtafuta JIDE kupitia twitter na kumuuliza juu ya hili swala naye aliweza kutoa yake anayo yafikiria,pia chanzo hicho kiliwezakumtafuta  MwanaFA lakini mwanaFA hakuweza kutujibu swali alilo  ulizwa hadi muda huu


Hivi ndivyo jide ALIVYO TUJIBU

0 comments:

Post a Comment